Ufafanuzi wa sista katika Kiswahili

sista

nominoPlural masista

  • 1

    Kidini
    mtawa mwanamke katika baadhi ya madhehebu ya Ukristo.

  • 2

    muuguzi wa kike katika hospitali mwenye cheo cha juu.

Asili

Kng

Matamshi

sista

/sista/