Ufafanuzi msingi wa sita katika Kiswahili

: sita1sita2

sita1

nominoPlural sita

 • 1

  tarakimu au idadi ya hesabu iliyo kubwa kwa tano na ndogo kwa saba.

 • 2

  ‘6’.

  tandatu

Asili

Kar

Matamshi

sita

/sita/

Ufafanuzi msingi wa sita katika Kiswahili

: sita1sita2

sita2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  acha kufanya jambo baada ya kutia nia ya kulifanya au baada ya kulianza.

  ngoja

 • 2

  engaenga

 • 3

  ganza

Matamshi

sita

/sita/