Ufafanuzi wa soda katika Kiswahili

soda

nomino

  • 1

    kinywaji kisicholewesha kinachotengenezwa kwa mchanganyiko wa maji matamu na gesi maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

soda

/sɔda/