Ufafanuzi wa sodo katika Kiswahili

sodo

nominoPlural sodo

  • 1

    kitambaa kitumiwacho na mwanamke kujihifadhi wakati wa hedhi.

    ufyambo, upati, mlembe

Asili

Kar

Matamshi

sodo

/sɔdɔ/