Ufafanuzi wa sogona katika Kiswahili

sogona

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    pangusa tupu ya nyuma kwa kusugua chini k.v. kwenye ardhi au nyasi baada ya kwenda haja kubwa.

Matamshi

sogona

/sɔgɔna/