Ufafanuzi wa sogora katika Kiswahili

sogora

nominoPlural masogora

  • 1

    fundi wa jambo fulani katika kusema au kutenda.

  • 2

    fundi wa kupiga au kucheza ngoma.

Matamshi

sogora

/sɔgɔra/