Ufafanuzi wa soketi katika Kiswahili

soketi

nomino

  • 1

    kifaa chenye matundu, agh. cha kuchomeka plagi ya umeme.

Asili

Kng

Matamshi

soketi

/sɔkɛti/