Ufafanuzi msingi wa soli katika Kiswahili

: soli1soli2

soli1

nomino

  • 1

    sehemu ya kiatu inayokanyagiwa.

Asili

Kng

Matamshi

soli

/sɔli/

Ufafanuzi msingi wa soli katika Kiswahili

: soli1soli2

soli2

nomino

kizamani
  • 1

    kizamani cheo cha askari wa daraja la sajini wakati wa enzi ya Mjerumani katika Tanganyika.

Asili

Kjr/ Ktu

Matamshi

soli

/sɔli/