Ufafanuzi msingi wa solo katika Kiswahili

: solo1solo2

solo1

nominoPlural masolo

  • 1

    mbegu za msolo zinazotumiwa kuchezea bao.

    kete, komwe

Matamshi

solo

/sɔlɔ/

Ufafanuzi msingi wa solo katika Kiswahili

: solo1solo2

solo2

nominoPlural masolo

  • 1

    matuta yanayopigwa kwenye shamba la pamba kuzuia maji.

Matamshi

solo

/sɔlɔ/