Ufafanuzi wa soma katika Kiswahili

soma

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fahamu yaliyoandikwa kwa kutamka, kupitisha macho au kugusa k.v. maandishi ya vipofu.

  • 2

    pata elimu, agh. shuleni, chuoni, n.k..

Matamshi

soma

/sɔma/