Ufafanuzi wa sombera katika Kiswahili

sombera

kitenzi sielekezi

  • 1

    jisogeza kwa kutumia miguu na mikono k.v. mtu apandaye mnazi.

    paraga

Matamshi

sombera

/sɔmbɛra/