Ufafanuzi wa somea katika Kiswahili

somea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    soma barua, kitabu, gazeti, n.k. kwa sauti kwa ajili ya mtu mwingine.

  • 2

    chukua mafunzo ya kazi fulani.

    ‘Wanafunzi wachache husomea udaktari’

Matamshi

somea

/sɔmɛja/