Ufafanuzi wa sona katika Kiswahili

sona

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    pumzika ili kupata hewa safi.

    ‘Niache, nataka kusona , nimechoka’

Matamshi

sona

/sɔna/