Ufafanuzi wa songofu katika Kiswahili

songofu

kivumishi

  • 1

    -enye kusongolewa.

    ‘Sili nyama songofu’

Matamshi

songofu

/sɔngɔfu/