Ufafanuzi msingi wa songonyoa katika Kiswahili

: songonyoa1songonyoa2

songonyoa1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~sha

  • 1

    sokota kitu kwa muda mrefu mpaka kikatike.

Matamshi

songonyoa

/sɔngɔɲɔwa/

Ufafanuzi msingi wa songonyoa katika Kiswahili

: songonyoa1songonyoa2

songonyoa2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~sha

Matamshi

songonyoa

/sɔngɔɲɔwa/