Ufafanuzi wa songosongo katika Kiswahili

songosongo

kivumishi

  • 1

    -enye kupindapinda; -sio sawa.

    koto

Matamshi

songosongo

/sɔngɔsɔngɔ/