Ufafanuzi wa sonoa katika Kiswahili

sonoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    fanya jambo la kuleta hasara, madhara au huzuni kwa mtu.

Matamshi

sonoa

/sɔnɔwa/