Ufafanuzi msingi wa sonona katika Kiswahili

: sonona1sonona2

sonona1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    tokota kwa chakula kilichokwisha kuiva na kuwa kigumu ili kukifanya kiive zaidi.

Matamshi

sonona

/sɔnɔna/

Ufafanuzi msingi wa sonona katika Kiswahili

: sonona1sonona2

sonona2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    umia moyoni, hasa baada ya kufikwa na jambo la huzuni.

Matamshi

sonona

/sɔnɔna/