Ufafanuzi wa sononeka katika Kiswahili

sononeka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na maumivu au uchungu moyoni na kuwa dhaifu k.v. kwa sababu ya uonevu aliofanyiwa mtu au jambo jingine lolote ambalo si la haki.

Matamshi

sononeka

/sɔnɔnɛka/