Ufafanuzi wa sora katika Kiswahili

sora

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua mwanamke kwa makubaliano bila ya kufunga ndoa.

Matamshi

sora

/sɔra/