Ufafanuzi wa soro katika Kiswahili

soro

nominoPlural soro

  • 1

    chakula maalumu cha maharusi wanachokula siku ya kwanza ya ndoa yao.

    ‘Maharusi wanakula soro’

Matamshi

soro

/sɔrɔ/