Ufafanuzi wa soseji katika Kiswahili

soseji

nominoPlural soseji

  • 1

    nyama iliyosagwa na kujazwa ndani ya utumbo wa mnyama au katika mfuko uliotengezwa kiutaalamu.

Asili

Kng

Matamshi

soseji

/sɔsɛʄi/