Ufafanuzi wa sota katika Kiswahili

sota

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    enda kwa matako na mikono k.v. kiwete.

    kweta

Matamshi

sota

/sɔta/