Ufafanuzi wa sotoka katika Kiswahili

sotoka

nomino

  • 1

    ugonjwa wa ng’ombe wa kuhara ambao huambukiza.

Matamshi

sotoka

/sɔtɔka/