Ufafanuzi msingi wa soza katika Kiswahili

: soza1soza2soza3

soza1

kitenzi elekezi

  • 1

    fikisha chombo k.v. jahazi mpaka karibu na ufuko.

Matamshi

soza

/sɔza/

Ufafanuzi msingi wa soza katika Kiswahili

: soza1soza2soza3

soza2

kitenzi elekezi

Matamshi

soza

/sɔza/

Ufafanuzi msingi wa soza katika Kiswahili

: soza1soza2soza3

soza3

kitenzi elekezi

  • 1

    kusanya na chukua k.v. kitu au watu kwa pamoja.

    somba, zoa

Matamshi

soza

/sɔza/