Ufafanuzi wa spana katika Kiswahili

spana

nominoPlural spana

  • 1

    chombo cha ufundi cha kufungulia na kufungia nati.

Asili

Kng

Matamshi

spana

/spana/