Ufafanuzi wa spea katika Kiswahili

spea

nomino

  • 1

    chombo cha akiba ambacho hutumiwa mahali pa kingine kilichoharibika.

    kipuri

Asili

Kng

Matamshi

spea

/spɛja/