Ufafanuzi wa speksheni katika Kiswahili

speksheni

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    pekua k.v. mtu au mahali ili kupata kinachotafutwa.

    sachi

Asili

Kng

Matamshi

speksheni

/spɛk∫ɛni/