Ufafanuzi wa spinachi katika Kiswahili

spinachi

nominoPlural spinachi

  • 1

    mboga laini yenye majani mororo kuliko sukumawiki.

Asili

Kng

Matamshi

spinachi

/spinat∫i/