Ufafanuzi wa staafu katika Kiswahili

staafu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    acha kazi ya kuajiriwa baada ya kufikia umri au muda maalumu uliowekwa.

Matamshi

staafu

/staa:fu/