Ufafanuzi wa staajabu katika Kiswahili

staajabu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pata mshtuko wa mwili au mawazo kwa kuona, kusikia au kuhisi kitu au jambo ambalo si la kawaida au ambalo halikutarajiwa.

  • 2

    ona ajabu.

    ajabia, shangaa, maka, duwaa

Asili

Kar

Matamshi

staajabu

/sta:ʄabu/