Ufafanuzi wa staarabu katika Kiswahili

staarabu

kivumishi

  • 1

    -enye vitendo, tabia na mwenendo unaolingana na maadili ya jamii inayohusika.

    ‘Tabia ya kistaarabu’
    ‘Mtu huyu si mstaarabu’

Asili

Kar

Matamshi

staarabu

/sta:rabu/