Ufafanuzi msingi wa stadi katika Kiswahili

: stadi1stadi2stadi3

stadi1

nominoPlural stadi, Plural mastadi

 • 1

  mtu aliye na uhodari au ufundi mkubwa wa kutenda jambo fulani.

  ‘Huyu ni stadi wa kutengeneza gari’
  bingwa, farisi, galacha

Ufafanuzi msingi wa stadi katika Kiswahili

: stadi1stadi2stadi3

stadi2

nominoPlural stadi, Plural mastadi

 • 1

  ujuzi au maarifa katika kufanya kitu au kazi.

Ufafanuzi msingi wa stadi katika Kiswahili

: stadi1stadi2stadi3

stadi3

kivumishi

 • 1

  -enye uhodari au ufundi mkubwa wa kutenda jambo fulani.

Asili

Kng

Matamshi

stadi

/stadi/