Definition of stafeli in Swahili

stafeli

noun

  • 1

    tunda la mstafeli lenye rangi ya kijani likiwa bivu na nyama nyeupe laini na tamu zenye mbegu nyingi nyeusi.

Origin

Khi

Pronunciation

stafeli

/stafɛli/