Ufafanuzi msingi wa staha katika Kiswahili

: staha1staha2

staha1

nomino

  • 1

    heshima inayoambatana na haya au aibu ya kutenda jambo lisilo zuri mbele ya watu wengine.

    heshima, hadhi, adabu, nidhamu

Asili

Kaj

Ufafanuzi msingi wa staha katika Kiswahili

: staha1staha2

staha2

nomino

  • 1

    sehemu ya mbele au ya nyuma ya chombo k.v. jahazi au mtumbwi ambayo huwa ina ubao wa kukalia au kuwekea vitu.

    dari

Asili

Kar

Matamshi

staha

/staha/