Ufafanuzi wa stahabu katika Kiswahili

stahabu

kitenzi elekezi

  • 1

    pendelea au vutiwa na kitu au jambo mojawapo kuliko jingine.

    ‘Nastahabu kukaa na njaa kuliko kufanywa mtumwa’

Asili

Kar

Matamshi

stahabu

/stahabu/