Ufafanuzi wa stahi katika Kiswahili

stahi

kitenzi elekezi

  • 1

    wekea heshima; wekea adabu.

    jali, heshimu, tukuza

Asili

Kar

Matamshi

stahi

/stahi/