Ufafanuzi wa stakabidhi katika Kiswahili

stakabidhi

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu kitu, agh. haki au amana.

  • 2

    kabidhi

Asili

Kar

Matamshi

stakabidhi

/stakabiĆ°i/