Ufafanuzi wa stala katika Kiswahili

stala

nominoPlural stala

Kidini
  • 1

    Kidini
    ukumbuu unaovaliwa na padri kwa kujitupia shingoni na kuning’inia mpaka magotini.

Matamshi

stala

/stala/