Ufafanuzi wa stara katika Kiswahili

stara, sitara

nominoPlural stara

  • 1

    hali ya kuficha jambo la aibu.

  • 2

    ‘Tafuta mahali pa stara ubadilishe hizo nguo ulizovaa’
    kificho

Asili

Kar

Matamshi

stara

/stara/