Ufafanuzi wa stashahada katika Kiswahili

stashahada

nominoPlural stashahada

  • 1

    cheti maalumu anachopewa mtu ambacho ni chini ya shahada ya kwanza au shahada ya juu baada ya mafunzo fulani katika chuo.

    diploma

Asili

Kar

Matamshi

stashahada

/sta∫ahada/