Ufafanuzi wa stata katika Kiswahili

stata

nomino

  • 1

    kiwashio cha motokaa au mashine yoyote.

Asili

Kng

Matamshi

stata

/stata/