Ufafanuzi wa stempu katika Kiswahili

stempu

nominoPlural stempu

  • 1

    kipande kidogo cha karatasi ya posta chenye alama maalumu kinachonunuliwa na kubandikwa katika barua au kifurushi kuonyesha kuwa ushuru wa kukisafirisha umelipwa.

Asili

Kng

Matamshi

stempu

/stɛmpu/