Ufafanuzi wa stendi katika Kiswahili

stendi

nomino

  • 1

    mahali pa kupakia abiria wa mabasi au wa teksi.

    kituo, steji

Asili

Kng

Matamshi

stendi

/stɛndi/