Ufafanuzi wa stepla katika Kiswahili

stepla

nominoPlural stepla

  • 1

    kifaa kinachotumika kubania karatasi pamoja kwa pini maalumu; kibanio cha karatasi.

Asili

Kng

Matamshi

stepla

/stɛpla/