Ufafanuzi wa stokingi katika Kiswahili

stokingi

nominoPlural stokingi

  • 1

    soksi ndefu zinazofika kwenye magoti na mara nyingi huvaliwa na kaptura au bukta.

    ‘Wachezaji wa timu ya Simba wamevaa stokingi zinazofanana’

  • 2

    soksi ndefu za wanawake zinazofika kiunoni.

Asili

Kng

Matamshi

stokingi

/stɔkingi/