Ufafanuzi wa stovu katika Kiswahili

stovu

nominoPlural stovu

  • 1

    jiko la kutumia mafuta ya taa.

Asili

Kng

Matamshi

stovu

/stɔvu/