Ufafanuzi wa studio katika Kiswahili

studio

nomino

  • 1

    chumba cha msanii cha kufanyia kazi.

  • 2

    chumba cha kuandalia na kurushia matangazo ya redio au ya televisheni.

  • 3

    chumba cha kupigia na kusafisha picha.

Asili

Kng

Matamshi

studio

/studijÉ”/