Ufafanuzi wa sua katika Kiswahili

sua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~liwa

  • 1

    toa maji kinywani kwa kuyatema baada ya kusukutua.

  • 2

    toa makohozi kutoka kwenye koo na kuyatema.

Matamshi

sua

/suwa/