Ufafanuzi wa suala katika Kiswahili

suala

nomino

  • 1

    jambo linalojadiliwa na kukatiwa shauri.

Asili

Kar

Matamshi

suala

/suwala/